Stock Inapotea Kimya Kimya? Dhibiti Kila Bidhaa kwa Swahili Duka

Stock Inapotea Kimya Kimya? Dhibiti Kila Bidhaa kwa Swahili Duka

Bidhaa zinaweza kuisha, kuharibika au kupotea bila mwenye biashara kugundua mapema. Swahili Duka POS inakuonyesha bidhaa zinazoingia, zinazouzwa na zilizobaki. Mfumo pia unakusaidia kutambua bidhaa zinazokaribia kuisha ili uagize mapema. Linda mtaji wako kwa kuanza kusimamia stock kidijitali.

Menu